Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3665786.Listed below are the latest Announcements:


Posted: 30th Nov -1
UZINDUZI WA JUKWAA LA UCHUMI WA KIJANI

HOTUBA  YA  MHESHIMIWA  DKT.  MOHAMMED GHARIB  BILAL,  MAKAMU  WA  RAIS  WA JAMHURI  YA  MUUNGANO  WA  TANZANIA KATIKA  UZINDUZI  WA  JUKWAA  LA  UCHUMI WA  KIJANI  
MJINI  IRINGA TAREHE  08  MEI, 2012

 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haber cook recipe Posted: 9th May 12
14th Ordinary Session of the African Ministerial conference on the environment (7-14 September 2012)

The 14th ordinary session of AMCEN will be held from 10 to 14 September 2012 in Arusha, Tanzania under the following theme: “Africa’s post Rio+20 Strategy for Sustainable Development”.

This 14th session is taking place soon after the United Nations Conference on Sustainable Development (Rio+20) and the 19th Summit of the African Union Heads of State and Governments, and will be of great significance in providing guidance to the African region with respect to the implementation of key outcomes of Rio+20 with the next session of the UN general Assembly as a direct milestone.   

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 27th Aug 12
A SPEECH BY THE VICE PRESIDENT DURING THE LAUNCHING OF THE BOOK “QUANTUM MECHANICS” AT DIT

A SPEECH BY HON. DR. MOHAMED GHARIB BILAL, THE VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DURING THE LAUNCHING OF THE BOOK “QUANTUM MECHANICS” AT DIT ON 22  SEPTEMBER, 2011.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 22nd Sep 11
ADAPTATION FUND PROJECT, TANZANIA,REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST

ADAPTATION FUND PROJECT, TANZANIA,REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST 

UNDER PROJECT

“Implementation of concrete Adaptation measures to reduce vulnerability of livelihoods and economy of coastal communities of Tanzania – Funded by Adaptation Fund Board”

Grant No. AFB – 5060 – 111 – 2G48

 

Posted: 21st May 14
Benki ya Wananchi Njombe yazinduliwa

Benki ya Wananchi Njombe yaaswa kubuni huduma zitakazowakwamua wananchi katika umaskini. Na Mwandishi Maalum – Iringa Jumatano – Feb 29, 2012  

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal ametoa changamoto kwa Benki ya Wananchi Njombe kufikiria kuhusu kubuni huduma ambazo zitakuwa nafuu na zinazoweza kuwasaidia wananchi kujikwamua katika umaskini. Akizindua  Benki hiyo jana wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani Njombe Dk. Bilal alisema anafahamu wazi kuwa lengo lao la kwanza ni kujenga mtaji na kuwataka lengo hilo lisiwafanye kusahau kuwa jukumu lao la kwanza ni kuwanyanyua wananchi kimtaji. Alisema wananchi wanaowalenga ni maskini na wale wenye uchumi wa kati ambao mahitaji yao siku zote huwa tofauti na wale wenye mali kwa kuwa wanahitaji mikopo ya muda mrefu yenye riba nafuu. “Mkiweza kuwasaidia wananchi hawa kwa kuzingatia maisha na mazingira wanayoishi naamini mtafanikiwa sana na wao watathamini nafasi yenu katika maisha yao,” alisema Dk. Bilal. Aidha, Makamu wa Rais aliwataka watumishi wa Benki hiyo kuhakikisha wanajenga uwazi, ukweli na umakini katika kazi zao na wanakuwa na tabia ya kuwaheshimu na kuwachangamkia wateja ili waweze kubaki na walengwa wao na watoe taarifa zao kwa wanahisa kwa wakati.

Aliwakumbusha pia umuhimu wa kutangaza taarifa hizo kwa wananchi ili waweze kwenda katika Benki hiyo kutumia huduma zao na kusisitiza lengo lao liwe kujitanua katika maeneo ya vijiji ambayo yana wananchi wengi wanaohitaji mchango wa sekta ya benki katika kukuza kazi zao. Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo Twilumba Ulaya alimweleza Makamu wa Rais kuwa mwitikio wa wananchi juu ya kuanzishwa kwa Benki ya Wananchi Njombe ni mkubwa kwani hadi kufikia Januari 31, 2012 jumla ya akaunti 5,199 zenye jumla ya amana za shilingi bilioni 1.8 zilikuwa zimekwisha funguliwa.

Aidha alisema katika kipindi hicho jumla ya hisa 442,716 zenye thamani ya shilingi milioni 442.7 zilikuwa zimeuzwa na mikopo ipatayo 2,313 yenye thamani ya shilingi bilioni 3.6 imetolewa kwa wananchi. Twilumba alisema benki hiyo ambayo ilianzishwa Septemba 13, 2010 inakabiliwa na changamoto ya kuwa na mtaji mdogo na hivyo kuiomba serikali ione uwezekano wa halmashauri zote nchini kutumia Benki za Wananchi ili benki hizo ziweze kuimarika kwa haraka kutokana na ushindani. Pia, aliiomba serikali kupitia Benki Kuu kupunguza masharti ya kuanzisha Benki za Wananchi na benki hiyo ipatiwe gari ili waweze kuwafikia wananchi wengi hasa waishio vijijini.

 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haber cook recipe Posted: 29th Feb 12
BRIEFING NOTES FOR THE VICE PRESIDENT ON BUILDING BASIC SCIENCES IN AFRICA: THE TANZANIAN PERSPECTIV

BRIEFING NOTES FOR THE VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, DR. MOHAMMED GHARIB BILAL ON BUILDING BASIC SCIENCES IN AFRICA: THE TANZANIAN PERSPECTIVES  26 SEPTEMBER, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 27th Sep 11
CLOSING SPEECH UN AND AU FORUM 2011

CLOSING SPEECH BY DR. MOHAMMED GHARIB BILAL,  VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA,  AT THE CLOSING CEREMONY OF THE 2011 UNITED NATIONS AND AFRICA PUBLIC SERVICE FORUM HELD  AT MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE, DAR ES SALAAM, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 23RD JUNE, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 23rd Jun 11
DK. BILAL MGENI RASMI SIKU YA MAZINGIRA

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KUWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Posted: 31st May 11
EXPRESSION OF INTEREST TENDER NO. ME 002/2012 -13/DE/C/07

CONSULTANCY SERVICES FOR IMPLEMENTATION OF A BASELINE SURVEY AND DEVELOPMENT OF INDICATORS AND TARGETS.  email us at  leoky2009@gmail.com


RE-ARDVERTISED
Lot 1: Implementation of concrete Adaptation measures to reduce vulnerability of livelihoods and economy of coastal communities of Tanzania – Funded by Adaptation Fund
And
Lot 2: Developing Core capacity to address Adaptation to Climate Change in Productive Coastal Zones of Tanzania – funded by Least Developed Countries Fund.

Please Use the email below to send your document to us

leoky2009@gmail.com

Posted: 13th Nov 13
FOMU YA KUJIANDIKISHA KUSHIRIKI MASHINDANO YA NISHATI MBADALA WA MKAA

 FOMU YA KUJIANDIKISHA KUSHIRIKI MASHINDANO YA NISHATI MBADALA WA MKAA NCHINI

Posted: 16th Dec 16
HOTUBA YA BAJETI OFISI YA MAKAMU WA RAIS

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WAKATI WA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA  2011/12

Mhe. Samia Suluhu Hassan, (Mb.),
Waziri wa Nchi, Muungano
 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 6th Jul 11
HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS KWENYE UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU NA SIKU YA MAZINGIRA

HOTUBA YA MAKAMU  WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO  WA TANZANIA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL,  KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA  TANZANIA  BARA NA UZINDUZI WA MAADHIMISHO  YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI  TAREHE  1 JUNI, 2011 SONGEA.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 1st Jun 11
HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KATIKA T

HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KATIKA TAMASHA LA TUNA IMANI
KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI  TAREHE 09 NOVEMBA, 2011 VIWANJA VYA DON BOSCO, UPANGA - DAR ES SALAAM

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 9th Nov 11
HOTUBA YA MH. MAKAMU WA RAIS - SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

 HOTUBA YA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE KILELE

CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI,

TAREHE 5 JUNI, 2016 MKOANI DAR ES SALAAM

Posted: 5th Jun 16
HOTUBA YA WAZIRI MKUU MH. KASSIM MAJALIWA(MB) YA UFUNGUZI WA WARSHA YA KUJADILI MIKAKATI YA KUPUNGU

HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, YA UFUNGUZI WA WARSHA YA KUJADILI MIKAKATI YA KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NCHINI KATIKA CHUO CHA UTALII DAR ES SALAAM TAREHE 29 NOVEMBA, 2016 Mheshimiwa January Mkamba, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii, Makatibu Wakuu mliohuduria, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wawakilishi wa Washirika wetu wa Maendeleo, Wageni waalikwa Wanahabari wote, Mabibi na Mabwana. Habari za asubuhi, UTANGULIZI: Mheshimiwa Waziri; Napenda kutumia fursa hii kwanza kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuwepo hapa leo pamoja katika siku hii muhimu sana. Aidha, napenda kukushukuru wewe pamoja na Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya warsha hii kwa heshima mliyonipa ya kufungua warsha hii ya kujadili na kutoa mapendekezo ya namna bora ya kupunguza matumizi ya mkaa hapa nchini. Pia, napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi za dhati kwa wadau mbalimbali ambao wamekubali kujumuika nasi katika kujadili jambo hili muhimu. Nimeelezwa kuwa washiriki wa warsha hii wanatoka katika sekta mbalimbali ambazo kwa pamoja zinalenga kuboresha na kuhifadhi mazingira kupitia tafiti, mafunzo na elimu kwa umma juu ya umuhimu wa kutumia nishati mbadala wa kuni na mkaa. Vile vile, nimeelezwa kuwa warsha hii imejumuisha pia washirika wetu wa maendeleo ambao bila kuchoka wamekuwa wakiunga mkono juhudi zetu za kuhifadhi mazingira kwa kutumia fedha zao au hata rasilimali nyingine ambazo zimetuwezesha kuweka mikakati ya kuboresha sera, sheria na kanuni zinazolenga hifadhi endelevu ya misitu yetu. Uwepo wenu katika majadiliano haya ni ushahidi wa mapenzi makubwa mliyo nayo kwa Nchi yetu, kwamba kwa pamoja tujadiliane namna ya kuhakikisha kuwa mazingira ya nchi yetu yanakuwa rafiki na yanabaki salama kwa wanadamu na viumbe wengine sasa na kuwa endelevu kwa vizazi vijavyo pia. Tunawashukuru sana! Niwapongeze pia waandishi wote wa habari mliohudhuria katika warsha hii. Ni matumaini yangu kuwa mtatumia vyombo vyenu kuuelimisha umma kuhusu mambo muhimu yatakayojadiliwa hapa kwa lengo la kuwawezesha wananchi kubadili hulka na fikra zao kuelekea matumizi ya nishati mbadala na kuhifadhi mazingira na misitu yetu kwa kupunguza matumizi ya kuni na mkaa. Hali ya Misitu na Mazingira yetu Ndugu wana warsha, Nchi yetu ina utajiri mkubwa wa misitu, mito, maziwa, na ardhi nzuri kwa kilimo, mifugo na madini ya kila aina. Ni katika mazingira yenye utajiri huu wa asili tunapata mahitaji yetu mbalimbali pamoja na viumbe vingine ambavyo kwa njia moja au nyingine tunategemeana. Takwimu zinaonyesha kuwa takriban asilimia 54 ya nchi yetu sawa na hekta milioni 48 ni misitu. Asilimia 34.5 ikiwa ni misitu inayosimamiwa na Serikali ya Kuu, asilimia 45.7 ni misitu katika ardhi ya vijiji, asilimia 6.5 inasimamiwa na Serikali za Mitaa; asilimia 7.3 ikimilikiwa na watu binafsi; na asilimia 5.7 ikiwa katika maeneo ya jumla ya umma (general land). Uharibifu wa Mazingira Pamoja na Mungu kutujalia utajiri huu, Nchi yetu inakabiliwa na changamoto kubwa sana za uharibifu wa mazingira kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufugaji wa kuhamahama, mifugo kuvamia misitu yetu na kuiharibu pamoja na vyanzo vya maji. Tumeachia watu wachache walime ndani ya misitu yetu na katika vyanzo vya maji wakisababisha ukataji mkubwa wa miti na kupotea kwa vyanzo vya maji. Wananchi wasio waaminifu wameendelea kuchoma misitu yetu bila kujua au kujali athari za kuharibu uoto wa asili na kufanya nchi kukosa mvua na kutoweka kwa viumbe muhimu. Vilevile, uchimbaji wa madini usio endelevu umekuwa chanzo kikubwa cha uharibifu wa mazingira na uchafuzi wa maji kutokana na sumu zinazotumika kuchengua madini. Wataalamu wanatuambia kuwa ukataji miti hovyo na ufyekaji wa misitu kwa ajili ya kuni na mkaa ndiyo shughuli kubwa inayoongoza katika uharibifu wa mazingira. Ndugu wana Warsha Ukataji miti umesababisha ikolojia ya maeneo yetu ya hifadhi za wanayamapori na misitu ya asili kuharibika na kusababisha wanyamapori ambao tunawategemea kwa asilimia kubwa kwa ajili ya utalii kuhama kutoka maeneo yao ya asili na kuvamia makazi ya watu kwa ajili ya kutafuta maji na malisho. Tumeshuhudia mabadiliko ya tabianchi yakisababisha mabadiliko ya vipindi vya mvua, mtawanyiko na hata kiwango cha mvua inayonyesha katika maeneo mengi hapa nchini, hali hii inatishia usalama wa chakula na ukosefu wa malighafi kwa viwanda vyetu ambavyo Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano ameazimia viwe ndiyo njia ya kutuvusha kuingia katika uchumi wa kati. Kuni na Mkaa unaozalishwa kibiashara ni vyanzo vikuu vya maisha ya wananchi wa vijijini na mijini. Nimeelezwa kuwa mwaka 2012, biashara ya mkaa na kuni ikihusisha mamia ya maelfu ya wazalishaji, wasafirishaji, wauzaji wa jumla na wauzaji wa rejareja kwa wananchi katika maeneo ya vijijini ilikuwa na thamani ya zaidi ya Shilingi trilioni 1.6 sawa na dola za kimarekani bilioni moja. Aidha, kumekuwepo baadhi ya watendaji wasio waaminifu ambao wamekuwa wakikaribisha wahamiaji haramu kutoka ndani na nje ya nchi kufanya biashara ya mkaa na kuni, mazao ambayo sasa yanasafirishwa hadi nje ya nchi yetu kutoka katika misitu yetu ya vijiji na hifadhi za Taifa. Uwepo wa pikipiki maarufu kama bodaboda zimesababisha ongezeko la ukataji wa miti kwa ajili ya biashara ya kuni na mkaa. Nitoe wito kwa wana warsha wote kujadili kwa kina namna ya kupambana na changamoto hizi na nyingine ambazo sikuzitaja nikiamini kuwa ninyi kama wadau mnazifahamu vyema. Warsha hii iwe ni chachu ya kutafuta nishati mbadala ili kuokoa mazingira yetu. Mahitaji ya Nishati ya Kupikia Ndugu wana Warsha, Wataalamu wetu wanatueleza kuwa leo hii, takriban asilimia 90 ya nishati ya kupikia hasa mijini ni mkaa; na kwa vijijini asilimia kubwa ya wananchi wanatumia kuni. Aidha, wanatueleza kuwa ili kuzalisha tani moja ya mkaa, sawa na magunia 30, zinahitajika tani 12 za kuni. Hali hii imeendelea kwa miaka mingi sana na kusababisha nchi yetu kupoteza zaidi ya hekta 370,000 kila mwaka. Nimeelezwa kuwa tafiti mbali mbali zinazoendelea zinaonesha kuwa matumizi ya mkaa hasa mijini yanaongezeka kutokana na ongezeko la watu, kukosekana kwa nishati mbadala yenye bei nafuu kama gesi, mafuta ya taa, biogesi na umeme. Wataalamu wetu wanatuonya kuwa kama hatutaanza sasa kutumia nishati mbadala, mahitaji ya mkaa yatafikia takriban tani milioni tano kwa mwaka ifikapo mwaka 2030 kutoka tani milioni 2.4 zilizotumika mwaka 2015. Hii ina maana kuwa tutatumia zaidi ya mara mbili ya matumizi ya sasa kwa kipindi cha miaka kumi na nne hivi ijayo. Ndugu wana warsha, Wataalamu wanazidi kutuelimisha kuwa, asilimia moja ya ongezeko la watu huongeza asilimia 14 za matumizi ya mkaa. Hivyo, kwa kuwa ongezeko la watu kwa sasa kwa mwaka hapa nchini ni kwa takriban asilimia 3, na kwa kuwa idadi ya Watanzania sasa hivi ni takriban milioni 51, tunatarajia kuwa ifikapo mwaka 2030 idadi ya Watanzania itafikia milioni 82. Hivyo, kwa mantiki hiyo, mahitaji ya mkaa yataongezeka kwa kasi kubwa sana katika kipindi hicho. Hivyo tuna kila sababu ya kuweka mikakati thabiti ya kutafuta nishati mbadala. Sote tunatambua kuwa miji na majiji yetu inakua kwa kasi kubwa sambamba na ongezeko la mahitaji ya kuni na mkaa. Licha ya kuelezwa kuwa Jiji la Dar es Salaam ni kati ya miji 10 yenye kasi kubwa ya ukuaji duniani, tunatarajia ukuaji huu utaongeza pia kwa kasi katika miji na majiji mengine kama Mbeya, Mwanza, Dodoma, Tanga na Arusha. Kwa mwenendo huu, bila shaka ukataji wa miti na uharibifu wa misitu kwa ajili ya nishati ya kupikia utaongezeka mara dufu kama hapatakuwepo na jitihada za dhati kabisa na za haraka za kupata nishati mbadala na endelevu. Vyanzo vya Nishati mbadala ya kupikia. Ndugu wana Warsha Naamini kuwa moja ya njia za kuokoa mazingira yetu na kurejesha thamani ya maliasili yetu ni kupunguza matumizi ya mkaa kwa ajili ya kupikia. Tutaweza kufanya hivyo iwapo tutaweza kubuni na kuhimiza matumizi ya teknolojia za uzalishaji wa nishati zenye ufanisi, bei nafuu, na endelevu zaidi. Vyanzo nafuu vya nishati mbadala ni lazima vianzie katika ngazi ya kaya na mtu mmoja mmoja hasa mijini. Kwa mfano, nishati itokanayo na tungamotaka (Biomass) ni chanzo kikubwa cha nishati kwa shughuli mbalimbali zisizo za majumbani katika maeneo ya vijijini na mijini, na inaweza kutumika pia kibiashara, katika taasisi na viwanda na kwa ukaushaji tumbaku, uchomaji matofali na kadhalika. Vilevile, mbali na kubuni nishati mbadala zilizo endelevu zaidi kwa mahitaji yenye mwelekeo wa kibiashara, tunaweza pia kubuni miundombinu ya uzalishaji na usambazaji wa nishati hiyo, ili kufanya soko la mkaa kuwa dogo zaidi na kusaidia punguza kasi ya ukataji miti na athari kwa mazingira ya asili. Ni matumaini yangu kuwa kupitia warsha hii, mtachambua kwa makini mikakati ya kupunguza matumizi ya mkaa nchini kwa kuzingatia kuwa wananchi wengi vijijini hutegemea uzalishaji na biashara ya mkaa kwa ajili ya maisha yao; kwa kuangalia mchango wa mkaa katika uchumi unaotokana na kodi; kwa kuzingatia uzalishaji wa nishati mbadala ambayo ni ya gharama nafuu, rahisi kutumia, kupatikana kwa njia rahisi na katika mazingira rafiki. Naamini kabisa kuwa kwa kutumia uzoefu, mawazo na utaalamu wenu kila mmoja kwa nafasi yake na kwa kuungana pamoja tutaweka mikakati ya kudumu ya kabiliana na changamoto hii. Hatua za kuchukua sasa hivi Ndugu wana Warsha Wakati wataalamu wetu wakiendelea kuchambua na kubaini teknoolojia na njia za kupata nishati mbadala kwa ajili ya kupikia, napenda nitoe ushauri ufuatao: Kwanza: Nizitake Taasisi za Serikali zinazotumia kuni na mkaa kwa wingi kama vile mashule, majeshi, na kadhalika kuanza mikakati madhubuti ya kubadili mfumo wa kupikia na kuweka majiko ya gesi. Nimeelezwa kuwa Makampuni yanayouza majiko na gesi ya kupikia aina ya LPG yameonyesha nia ya kuweka majiko haya bila gharama yeyote. Tutumie vyombo vyetu vya habari na majukwaa ya mikutano kuhamasisha wananchi kutumia fursa hii ya LPG. Niwatake mtembelee soko la samaki la feri Jijini Dar es Salaam kuona namna matumizi ya gesi yalivyorahisisha uzito wa kazi na kubadili usafi wa mazingira katika eneo hilo. Pili: Kila Halmashauri inayozalisha mkaa iweke mpango kabambe wa kuanzisha mashamba ya miti kwa ajili ya kupata nishati hiyo, ili Mkaa usitokane tena na miti ya asili. Tatu: Halmashauri zihakikishe zinaweka na kusimamia utekelezaji wa sheria, kanuni, mipango na programu za kuhifadhi misitu na udhibiti wa ukataji wa miti ovyo. Nne: Kila Halmashauri iandae mwongozo wa uzalishaji, matumizi na biashara ya mkaa katika mashamba yatakayoanzishwa; na kwamba programu za kupanda miti zifanyike wakati wa msimu wa mvua ili kuhakikisha miti yote inapona na uwepo mpango wa kuzuia mifugo kuharibu miti itakayopandwa. Tano: Kila mfanyabiashara wa mkaa lazima awe na shamba la miti kwa ajili ya nishati ya mkaa na vibali vya biashara hiyo vitolewe kwa masharti haya. Tuzo ya Changamoto za Mkaa Ndugu wana warsha, Nimedokezwa kuwa Mheshimiwa Waziri wa Nchi – Muungano na Mazingira amezindua Tuzo ya Changamoto za Mkaa Nchini (Tanzania Charcoal Challenge Award). Nichukue fursa hii mbele yenu kumpongeza sana Mheshimiwa Waziri kwa ubunifu huu ambao utatoa hamasa kwa wenye ubunifu na maono kugundua mbinu endelevu za uzalishaji na matumizi ya nishati mbadala ili kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya mkaa hapa nchini. Ubunifu huu utatusaidia pia kupata teknolojia zitakazotuwezesha kutumia gesi asilia ambayo tayari tunayo kwa wingi na inaweza kusambazwa kwa urahisi katika maeneo mengi ya mijini kwa kuanzia na Jiji la Dar es Salaam ambapo mitambo imeshafika. HITIMISHO Mheshimiwa Waziri, Nitumie nafasi hii kukushukuru tena wewe binafsi na washiriki wote wa warsha hii kwa maadalizi mazuri. Niwakumbushe tena kuwa Warsha hii imeandaliwa ili Serikali iweze kupata maoni kutoka kwa wadau kuhusu ya namna bora ya kupunguza matumizi ya mkaa, kuwa na nishati mbadala na kuona uwezekano wa kuwa na mbinu za uzalishaji endelevu mkaa nchini ili kulinda mazingira. Hivyo, ni matumaini yangu kwamba warsha hii itaibua mikakati ya kufikia malengo yaliyokusudiwa. Mazingira yetu ndiyo Tanzania yetu. Ni wajibu wetu sote kuyalinda na kuhakikisha kuwa changamoto hii tunaitafutia suluhisho la kudumu. Kwa haya maneno machache ninatangaza kuwa Warsha ya Kujadili Mikakati ya Kupunguza Matumizi ya Mkaa Nchini imefunguliwa rasmi. ASANTENI KWA KUNISIKILIZA.

Posted: 29th Nov 16
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OMR, WAKATI WA KUWASILISHA BUNGENI BAJETI 2012/13

 

 
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WAKATI WA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA 2012/13
 
Mhe. Samia Suluhu Hassan, (Mb.),
Waziri wa Nchi, Muungano
 
Mhe. Dkt. Terezya Luoga Huvisa, (Mb.),
Waziri wa Nchi, Mazingira
veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haber cook recipe Posted: 4th Jul 12
HOTUBA-MAFUNZO YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI TAREHE 23 JUNI,2011

HOTUBA  YA  MHE.  DR.  MOHAMMED  GHARIB  BILAL,  MAKAMU  WA  RAIS  WA JAMHURI  YA  MUUNGANO  WA  TANZANIA  WAKATI  WA  KUFUNGUA MAFUNZO  YA  WANAWAKE  WAJASIRIAMALI  KATIKA  BWALO  LA  JESHI  LA  KUJENGA  TAIFA  MGULANI,    DAR ES SALAAM, TAREHE  23  JUNI,  2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 23rd Jun 11
KIJITABU CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

KIJITABU CHA  SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2017

Posted: 31st May 17
LAUNCH OF SUPERBRAND INTERNATIONAL TRIBUTE IN TANZANIA

SPEECH  BY  HIS   EXCELLENCY   DR.  MOHAMMED GHARIB  BILAL,  VICE
PRESIDENT  OF  THE  UNITED  REPUBLIC   OF  TANZANIA
ON  THE  LAUNCH  OF SUPERBRAND  INTERNATIONAL
TRIBUTE  IN TANZANIA  ON  15TH  DECEMBER,  2011
HYATT  REGENCY,  DAR ES SALAAM

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 19th Dec 11
MABALOZI WA FINLAND NA UJERUMANI NCHINI TANZANIA WAMUAGA MAKAMU WA RAIS.

MABALOZI WA FINLAND NA GERMANY WAMUAGA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL IKULU LEO JUMATATU JULAI 04, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 4th Jul 11
MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA (CKHT) TAREHE 26 NOVEMBA, 2011 MAKAO MAKUU YA CKHT,

BUNGO, KIBAHA

 

 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 3rd Dec 11
MAKAMU WA RAIS AWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 31 WA WAKUU WA NCHI ZA SADC NCHINI ANGOLA

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 31 WA WAKUU WA NCHI ZA SADC NCHINI ANGOLA
AGOSTI 17-18, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 17th Aug 11
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA MISRI NCHINI TANZANIA,AGOSTI 22,2011

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA BALOZI WA MISRI NCHINI TANZANIA WAEL ADEL NASR, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM: AGOSTI 22, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 22nd Aug 11
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WA SUDAN,KENYA NA ZAMBIA

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZA SUDAN, KENYA NA ZAMBIA

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 28th Jun 11
MAKAMU WA RAIS KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal yupo mjini New York, Marekani ambapo anahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Ukimwi ulioandaliwa na UNAIDS.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 7th Jun 11
MDAHALO WA NAFASI YA UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAISHA YA WATANZANIA

HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KATIKA UFUNGUZI WA MDAHALO WA NAFASI YA UMUHIMU WA KATIBA KATIKA MAISHA YA WATANZANIA: JUMBA LA MAKUMBUSHO LA TAIFA, DAR ES SALAAM: TAREHE 17  NOVEMBA, 2011.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 17th Nov 11
MKUTANO WA MAZINGIRA DURBAN (COP 17) DESEMBA 07, 2011

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZINGIRA DURBAN (COP 17)  DESEMBA 07, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 8th Dec 11
REMARKS BY HIS EXCELLENCY MOHAMMED GHARIB BILAL

REMARKS BY HIS EXCELLENCY MOHAMMED GHARIB BILAL  VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT  THE  GALA  DINNER  ORGANIZED  BY  THE  WILDLIFE
CONSERVATION  FOUNDATION  OF  TANZANIA  HELD  AT THE MOVENPICK HOTEL ON 15TH APRIL, 2011

Posted: 16th Apr 11
SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI 17JUNE 2011

TAMKO LA MHESHIMIWA DKT. TEREZYA LUOGA HOVISA (MB), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI TAREHE 17 JUNI 2011.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 17th Jun 11
SPEECH BY VICE PRESIDENT DURING THE OPENING OF THE MEETING FOR WOMEN AFFAIRS

SPEECH  BY  H.E.  MOHAMMED  GHARIB  BILAL,

VICE  PRESIDENT  OF   THE  UNITED  REPUBLIC

OF TANZANIA  DURING  THE  OPENING  OF  THE MEETING 

OF THE MINISTERS  RESPONSIBLE  FOR WOMEN  AFFAIRS 

AND  GENDER  FROM  THE  ICGLR MEMBER  STATE 

HELD AT ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE

ON  4TH  NOVEMBER, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 9th Nov 11
SPEECH BY VICE PRESIDENT ON GRAND CLIMAX OF GOLDEN JUBILEE OF FACULY OF LAW-UDSM

SPEECH  BY  HIS  EXCELLENCY  DR. MOHAMMED  GHARIB  BILAL,
VICE  PRESIDENT  OF  THE  UNITED  REPUBLIC  OF TANZANIA  DURING  THE
GRAND  CLIMAX   OF  THE GOLDEN  JUBILEE  CELEBRATIONS  OF  THE  FACULTY OF
LAW,  UNIVERSITY  OF  DAR ES SALAAM,ON   22ND  OCTOBER,  2011.

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 9th Nov 11
SPEECH BY HIS EXCELLENCY DR. MOHAMMED GHARIB BILAL,ON THE 6TH INTERNATIONAL CONFERENCE ON ICT.

SPEECH BY HIS EXCELLENCY DR. MOHAMMED GHARIB BILAL, ON THE OCASSION OF OPENING THE 6TH INTERNATIONAL CONFERENCE ON ICT FOR DEVELOPMENT, EDUCATION  AND TRAINING, MLIMANI CITY HALL, DAR ES SALAAM 25TH  MAY, 2011

Posted: 25th May 11
SPEECH BY THE VICE PRESIDENT AT THE SIGNING CEREMONY IMPLEMENTING THE MCHUCHUMA


SPEECH BY HIS EXCELLENCY MOHAMMED GHARIB BILAL, THE VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE SIGNING CEREMONY OF THE JOINT VENTURE
AGREEMENT BETWEEN NDC AND SICHUAN HONGDA OF CHINA FOR IMPLEMENTING THE MCHUCHUMA AND LIGANGA PROJECTS AT MLIMAN CITY ON 21 SEPTEMBER, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 21st Sep 11
SPEECH BY VICE PRESIDENT-35TH ANNIVERSARY OF THE HANDOVER OF TAZARA 14 SEPTEMBER, 2011

SPEECH  BY THE VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA H. E. DR. MOHAMMED GHARIB BILAL ON THE OCCASION TO MARK THE CELEBRATION OF THE 50 YEARS OF INDEPENDENCE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND COMMEMORATION OF 35TH ANNIVERSARY OF THE HANDOVER OF TAZARA BY THE GOVERNMENT OF THE PEOPLE’S REPUBLIC OF CHINA TO THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE REPUBLIC OF ZAMBIA 14 SEPTEMBER, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 14th Sep 11
SPEECH-THE OPENING OF THE 20TH MEETING OF THE BOARD OF GOVERNORS

THE OPENING OF THE 20th MEETING OF THE BOARD OF GOVERNORS  OF THE AFRICAN CAPACITY BUILDING FOUNDATION AT  THE MOUNT MERU HOTEL 8TH SEPTEMBER, 2011

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 8th Sep 11
STATEMENT BY HIS EXCELLENCY THE VICE PRESIDENT OF TANZANIA TO THE UN HIGH LEVEL MEETING ON HIV

STATEMENT BY HIS EXCELLENCY DR. GHARIB MOHAMMED BILAL, THE VICE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE UNITED NATIONS HIGH LEVEL MEETING ON HIV AND AIDS
08-10 JUNE 2011, NEW YORK

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places haberi cook recipe Posted: 8th Jun 11
TAMKO LA MHE. KANGI LUGOLA

 

                 userfiles/USAFI WA MIJI NA MAJIJI.doc  

Posted: 30th Oct 17
TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA AFRIKA

 TAMKO LA WN-OMR - MMZ BW. JANUARY Y. MAKAMBA KWA VYOMBO VYA HABARI

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA AFRIKA TAREHE 3 MACHI, 2017

Posted: 27th Feb 17
UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA UMOJA WA WABUNGE WA TANZANIA WA KUPAMBANA NA UKIMWI (TAPAC)

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, MAKAMU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA UMOJA WA WABUNGE WA TANZANIA WA KUPAMBANA NA UKIMWI (TAPAC), UKUMBI WA PIUS MSEKWA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2011.

 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 22nd Nov 11
UFUNGUZI WA MRADI WA UKARABATI WA BARABARA YA NELSON MANDELA

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA SHEREHE YA UFUNGUZI WA MRADI WA UKARABATI WA BARABARA YA NELSON MANDELA TAREHE 2 DESEMBA, 2011

 

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 4th Dec 11
UPIGAJI MARUFUKU MATUMIZI YA POMBE ZINAZOFUNGASHWA KATIKA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (VIROBA

 UPIGAJI MARUFUKU MATUMIZI YA POMBE ZINAZOFUNGASHWA KATIKA
 VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (VIROBA

Posted: 20th Feb 17
UZINDUZI WA KAMPENI YA CHANJO YA KITAIFA

HOTUBA YA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS

WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, KATIKA

UZINDUZI WA KAMPENI YA CHANJO YA KITAIFA

YA SURUA, UTOAJI WA MATONE YA POLIO,

VITAMIN ‘A’ NA DAWA ZA MINYOO

TAREHE 12 NOVEMBA, 2011 - ARUSHA

veysel karani hz mehdi recent business newsmagazine newsfirst class business all places company guide cook recipe Posted: 20th Nov 11
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA WAHARIRI

MAELEZO YA NDUGU JANUARY MAKAMBA (MB) WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO NA JUKWAA LA WAHARIRI KUHUSU ZIARA YA MAZINGIRA KATIKA MIKOA KUMI 1 DISEMBA 2016

Posted: 1st Dec 16
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI UTURUKI MEI 9-13,2011

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI UTURUKI
MEI 09-13, 2011

Posted: 8th May 11