BALOZI SOKOINE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUREJELEZA TAKA ZA ELEKRONIKI

[:en]Chilambo akiendelea kumwonesha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine vifaa mbalimbali ambavyo hukusanywa na kampuni yake vikiwemo chuma chakavu, betri mbalimbali zilizotumika, vifaa mbalimbali vya mawasiliano, vifaa vya kompyuta, vya kuchapishia (printers), mashine za kurudufia (photo-copiers), na vinginevyo na vyuma vya aina mbalimbali kama vile shaba.[:]