
NZEGA YAKABILIWA NA UHARIBIFU MKUBWA WA MAZINGIRA
Changamoto kubwa inayoikabili Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ni uharibifu mkubwa wa mazingira utokanao na uvunaji holela wa rasilimali za misitu na shughuli za kilimo. […]
Changamoto kubwa inayoikabili Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora ni uharibifu mkubwa wa mazingira utokanao na uvunaji holela wa rasilimali za misitu na shughuli za kilimo. […]
Jamii imetakiwa kufahamu kuwa Kamati za Mazingira katika ngazi zote zipo kwa mujibu wa Sheria, Sheria ya Mazingira kifungu Na. 38 (1-2) na Kamati hizo […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba hii leo amehitimisha ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Singida […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameendelea na ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Iramba kwa […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba amesema Ofisi yake inaangalia uwezekano wa kutangaza Ziwa Singidani na Ziwa […]
HOTUBA YA MKURUGENZI – IDARA YA MAZINGIRA, Bi. ESTHER MAKWAIA, OFISI YA MAKAMU WA RAIS KATIKA WARSHA YA UDHIBITI WA KEMIKALI NA KEMIKALI TAKA KWA […]
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Windhoek, Namibia kushiriki […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaomba Wazee wa Kizimkazi kukubali na kuwabariki vijana kwenda kujifunza taaluma na […]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba amehidi kutoa mifuko hamsini ya saruji na bati hamsini kama mchango […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. […]