Kiswahili | English
Tafuta Tovuti hii kupitia hapa:
    
 
Total site visits: 3960387.
Click on the thumb to select the album.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.
Waziri na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw Mohsin Movahhed Ofisini kweke Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam
Waziri na Balozi wa Iran
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Saku ya Mazingira Afrika yanayoadhimishwa leo kulia Ofosa Mazingira Mkuu Bi Esther Makwaia kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam
Siku ya Mazingira Afrika
Semina ya Mazingira kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi
Senina ya Mazingira
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran
Waziri na Balozi wa Iran