Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
Total site visits: 3960416.
Click on the thumb to view the photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw M Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Bw M Movahhedi Ghomi wakati alipofika Ofisini kwake Kujadili Mkutano wa Mkataba wa Kuhifadhi ardhi Oevu utakaofanyika Nchini Iran Tanzania ni Miongoni mwa Nchi zinazotekeleza Mkataba wa Ramsa

«Back to the list of Albums