Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960415.
Click on the thumb to view the photo

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais katika Semina ya siku moja kuhusu mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais Dk. Bilal akifunga semina ya siku moja kuhusu mabadiliko ya tabianchi kwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es salaam, alisema katika suala la matumizi ya misitu wawekezaji wengine wanapaswa kufuata taratibu zilizowekwa na nchi na mkataba wa mabadiliko ya tabianchi.

«Back to the list of Albums