KIKAO KAZI CHA MAKATIBU WAKUU KUPITIA NA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA MUUNGANO February 5, 2019 Monica Sepanjo Slideshow 0 [:en]Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Joseph Malongo akisikiliza hoja mbalimbali kwa umakini zilizokua zikichangiwa na Wajumbe waliohudhuria kikao hiko.[:]