KIKAO KAZI CHA MAKATIBU WAKUU KUPITIA NA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YA MUUNGANO

[:en]Makatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali za Serikali wakisikiliza kwa umakini ajenda mbalimbali zilizokuwa zikijadiliwa kwenye kikao kilichokutanisha Makatibu Wakuu kilichohusu kupitia na kujadili masuala mbalimbali ya Muungano. Kikao hiko kilifanyika jijini Dodoma.[:]