MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed ambapo walikutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mohammed V mjini Casablanca Morocco,Makamu wa Rais alikuwa njiani kuelekea nchini Mauritania ambako mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika .[:]