MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MAENDELEO YA ODI KUTOKA NCHINI UINGEREZA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano na Mkuu wa Utafiti na Mkurugenzi wa Mpango wa kusaidia Mabadiliko ya Kiuchumi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Kimataifa (ODI) kutoka nchini Uingereza Dkt. Dirk Willem te Verde na Ujumbe wake ,Ikulu jijini Dar es Salaam.[:]