MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA YA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Mazingira ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma.[:]