MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2019 MKOANI SONGWE

[:en]Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasha Mwenge kuashiria kuzinduliwa kwa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Mlowo mkoani Songwe.[:]