Mjadala wa Kitaifa kuhusu Imani ya dini katika Hifadhi ya Mazingira wafanyika Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akitoa neno katika ufunguzi wa Mjadala wa Kitaifa kuhusu Imani ya dini katika Hifadhi ya Mazingira, mjadala uliofanyika katika ukumbi wa LAPF Kijitonyama, Dar es Salaam.