MKURUGENZI WA IDARA YA MAZINGIRA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ATEMBELEZA MAENEO YALIYOPANDWA MITI WAKATI WA KAMPENI YA KIJANISHA DODOMA.

[:en]Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa William Mwegoha(kushoto) akiangalia ukuaji wa mti uliopandwa wakati ya kampeni ya upandaji miti kuifanya Dodoma kuwa ya kijani katika eneno la Mzakwe jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Bi. Ester Makwaiya.[:]