Naibu Waziri Sima atoa majibu ya Serikali juu ya Fedha za Mfuko wa Jimbo

[:en]Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akitoa majibu ya Serikali kwa maswali yaliyoelekezwa katika Ofisi yake juu ya masuala ya Muungano mapema hii leo.[:]