Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955728.KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS ARIPOTI

Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimtambulisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora mbele ya menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Utambulisho huo umefanyika leo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.