Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955807.MAKABIDHIANO YA OFISI

Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora. Makabidhiano hayo yamefanyika Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo. Awali Prof. Faustine Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu - Mawasiliano.


 

<< Back to News Archive.