Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776819.WAZIRI MAKAMBA AKIWA TEMEKE

 Mwakilishi wa UNOPS Bw Bernard Omondi akifanunua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba katika eneo la Temeke - Mtoni kwa Azizi Ali ambapo kazi ya kusafisha na kujenga mfumo wa maji taka inaendelea. 


 

<< Back to News Archive.