Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955794.MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU SEKTA YA MAZINGIRA

Kushoto Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Profesa Faustin Kamuzora akizungumza katika kikao cha Makatibu wakuu na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira, katika mkutano ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu. Kulia ni katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo Uvuvi na Mifugo Bw.Yohana Budeba. Mkutano huo wa ndani ulifanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.-->
 

<< Back to News Archive.