Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010394.PROF. KAMUZORA ATEMBELEA NEMC

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akisalimiana na baadhi ya Wafanyakazi NEMC mara baada ya kutemebelea Ofisi za Taasisi hiyo zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.  NEMC ni Taasisi iliyopo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais


 

<< Back to News Archive.