Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954771.WAZIRI MAKAMBA NA NAIBU KATIBU MKUU

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava mara baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa ajili ya Kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi yake.  


 

<< Back to News Archive.