Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784788.KATIBU MKUU AZINDUA WARSHA YA MRADI WA KUANDAA MPANDO WA TAIFA WA KUONDOSHA MEKYURI.

Mgeni Rasmi ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora akiongea wakati wa kufungua warsha ya siku moja inayohusu uzinduzi wa mradi wa kuandaa mpango wa Taifa wa kuondosha matumizi ya zebaki kwa Wachimbaji wadogo.


 

<< Back to News Archive.