Mgeni Rasmi katika Warsha hiyo Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wote walioshiriki Warsha hiyo.