Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3962166.WAWAKILISHI WA UNEP WAKUTANA NA WAZIRI MAKAMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Wawakilishi wa Shirikia La Umoja wa Mataifa linalohusika na Mazingira (UNEP) pamoja na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora


 

<< Back to News Archive.