Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784797.MKURUGENZI WA SHIRIKA LA MAZINGIRA ATEMBELEA TAZANIA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akimuelezea juu ya uzalishaji wa mkaa Mkurugenzi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bwana Erik Solheim na Ujumbe wake walipotembelea kituo cha uuzaji wa mkaa eneo la Ubungo jijini Dar Es Salaam wakati ya ziara ya siku moja ya Mkurugenzi huyo


 

<< Back to News Archive.