Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3957068.HALFA YA UZINDUZI WA MFUKO WA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwakaribisha wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa dhamana ya Hifadhi ya Mazingira (hawapo pichani), kushoto ni Bw. Ali Mufuruki Mwenyekiti wa Bodi.


 

<< Back to News Archive.