Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3955748.UJUMBE TOKA CHINA WATEMBELEA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China uliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukuza mahusiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya mazingira.


 

<< Back to News Archive.