Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3786421.WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WACHIMBAJI MCHANGA NA WALIMA BUSTANI ZA MBOGAMBOGA KUONDOKA MARA MOJA KATIKA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba pamoja na Mbunge wa jimbo la Segerea Mh. Bonnah Klauwa wakiskiliza kero mbalimbali zinazotolewa ana Wananchi wakati Mh. Waziri alipofanya ziara katika kata ya Vingunguti kukagua athari mbalimbali za mazingira.


 

<< Back to News Archive.