Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954724.WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Katika mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa Benki ya Dunia ameahidi kuisaidia Tanzania katika Sekta ya Mazingira ikiwa ni pamoja na uhifadhi wa mifumo ya ikolojia na bioanuai, pamoja na kulijengea uwezo Baraza laTaifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).


 

<< Back to News Archive.