Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010371.UGENI KUTOKA BENKI YA DUNIA WAMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA

 Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto) akiongea na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Mazungumzo hayo yamefanyika hii leo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora.


 

<< Back to News Archive.