Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010343.MAKAMU WA RAIS MKUTANONI SWAZILAND

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, usiku huu anahudhuria mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama unaojulikana kama SADC Double Troika, mjini Mbabane Swaziland, Mkutano ambao unajadili kwa kina hali tete ya Usalama katika Nchi ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Nchi ya Lesotho ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Asasi hiyo.


 

<< Back to News Archive.