Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960353.ZIARA YA WAZIRI MAKAMBA JIJINI TANGA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. January Makamba akipata maelezo kutoka kwa Bw. Anely Wambura Afisa Maliasili wa Jiji la Tanga juu ya athari za mabadiliko ya tabianchi katika kingo za fukwe eneo la Raskazoni, Tanga.


 

<< Back to News Archive.