Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954772.ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI - TANGA

 Athari za mabadiko ya tabianchi. Pichani ni mmomonyoko wa fukwe unaotishia kuharibika kwa barabara iendayo bandarini katika jiji la Tanga. Waziri Makamba ameahidi kutuma timu ya wataalamu kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu mapema iwezekanavyo


 

<< Back to News Archive.