Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954775.WAZIRI MAKAMBA AKAGUA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA MONDULI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akipanda mti wa kumbukumbu nyumbani kwa Hayati Edward Moringe Sokoine. Waziri Makamba yuko katika ziara ya kikazi Mkoani Arusha na alitembelea  msitu wa Enguiki  na Lendikinya kisha alizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.


 

<< Back to News Archive.