Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776529.MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KATIKA ZOEZI LA UPANDAJI MITI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti katika msitu wa Mwalimu Nyerere ikiwa ni kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani na kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere.


 

<< Back to News Archive.