Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010332.ZOEZI LA UPANDAJI MITI - SIKU YA MAZINGIRA

Waziri wa Sheria na Katiba akimwagia mti  katika Msitu wa Mwalimu Nyerere Butiama Mkoani Mara, katika kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani. Wengine katika Picha ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora na Eng. Ngosi Mwihava Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais


 

<< Back to News Archive.