Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010313.PROF. KAMUZORA ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI BUTIAMA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora akishiriki katika zoezi la upandaji miti ikiwa ni maadhimisho ya siku ya mazingira duniani. Zoezi hilo limefanyika leo katika msitu wa Mwalimu Butiama Mkoani Mara 


 

<< Back to News Archive.