Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954774.PROF. KAMUZORA AKIFAFANUA JAMBO KWA WANAHABARI

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utoaji wa tamko la kuadhimisha siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame, mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa hazina Dodoma.

 


 

<< Back to News Archive.