Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960371.KATIBU MKUU AKUTANA NA WATUMISHI WA BARAZA LA USIMAMIZ WA MAZINGIRA (NEMC)

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora akiongea na Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) alipokutana nao kuongea mambo mbalimbali ya Kiutumishi, Ofisi hiyo ambayo iko Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais.
 

<< Back to News Archive.