Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960379.MAKAMU WA RAIS AZINDUA TTCL PESA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa huduma ya TTCL Pesa uliofanyika Makamu Makuu ya TTCL barabara ya Samora jijini Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Ndugu Wazir W. Kindamba
 

<< Back to News Archive.