Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 4010360.KIKAO CHA WAZI CHA KUPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU DHAMIRA YA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU UZALISHAJI, UUZ

 Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akifungua kikao cha wazi cha kupokea maoni ya Wadau kuhusu dhamira ya Serikali ya kupiga marufuku uzalishaji, uuzaji,usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.