Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776752.NAIBU WAZIRI MPINA APOKEA RIPOTI YA ZIARA YA KAMATI YA YA ARDHI NA MAWASILIANO YA BARAZA LA WAWAKILI

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Luhaga Mpina akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Profes Faustin Kamuzora wakati wa kupokea ripoti ya ziara ya  Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar katika ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais- Dar Es Salaam.


 

<< Back to News Archive.