Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776756.UJUMBE KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WATEMBELEA MIGODI YA WACHIMBAJI WADOGO MKOANI SINGIDA

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bi Ogenia Mpanduji (katikati) , Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira  Bi Magdalena Mtenga pamoja na Afisa Afya Mazingira Bi Suzan Nchala wakionyeshwa na Mkurugenzi wa mgodi wa Sekenke jinsi jiwe linavyokuwa kabla ya kuingizwa kwenye mashine kwa kuvunjwavunjwa  mkoani Singida.


 

<< Back to News Archive.