Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776742.UJUMBE KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA MIGODI MKOANI TABORA.

Mkurugenzi wa sera na Mipango toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ogenia Mpanduji pamoja na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bi Magdalena Mtenga na Afisa Mazingira Bi Suzan Nchala wakiangalia sehemu ambapo mawe yaliyopondwa husafishwa ili kupata dhahabu walipotembelea mgodi mdogo wa Igulubi wilayani Tabora


 

<< Back to News Archive.