Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3776736.NAIBU WAZIRI MPINA AFANYA ZIARA JIJINI DAR ES SALAAM

 

 • SERIKALI HAITAWAVUMILIA WAWEKEZAJI WENYE VIWANDA WANAOCHAFUA MAINGIRA –
  MPINA
  NA ; EVELYN MKOKOI, DAR ES SALAAM
  Naibu Waziri Osi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Masuala ya Muungano na Mazingira
  Mhe. Luhaga Mpina, amesema Serikali haitawavumilia wawekezaji wenye viwanda wanaokiuka
  sheria za nchi hasa ya uchaafuzi wa mazingira.
  Mpina ameyasema hayo leo alipokuwa ka#ka ziara ya kikazi jijini Dar Es Salaam ya uzinga#aji
  wa sheria ya Mazingira alipotembelea eneo la viwanda mikocheni ka#ka kiwanda cha Iron and
  Steel Limited, BIDCO limited na Basic elements Limited.
  Akizungumza mara baada ya ziara hiyo Mpina alisema yeye na team yake ka#ka ziara hiyo
  wamebaini uvunjifu mkubwa wa sheria ka#ka uchafuzi wa mazingira kwenye viwanda hivyo na
  kiwanda cha Iron Steel na Basic Limited , kila kimoja kimetozwa faini ya sh. Milioni 10
  inayotakiwa kulipwa ndani ya wiki mbili na kutakiwa kufanya marekebisho ya mfumo.
  Ka#ka kiwanda cha utengenezaji bidhaa ya Unga wa ugali cha Basic Element alisema kwa
  kushirikiana na wataalamu wa mazingira wamebaini wamiliki wa kiwanda hicho wamekiuka
  kanuni kwa kuziba mfereji wa maji taka.
  “Kilichofanyika hapa hakikubaliki na hakiwezekani kufumbiwa macho walichokifanya wamiliki
  wa kiwanda hiki ni ukiukwaji wa sheria na wamesababisha wananchi wengi waishi ka#ka
  mazingira hatarishi haiwezekani kuziba mfereji mkubwa kama huu ambao maji taka mengi
  yalitakiwa kusari ikiwemo kutoka viwanda vingine ni hatari,”alisema.
  Alisema awali kabla ya kiwanda hicho kujengwa ulikuwepo mfereji huo hivyo ni vyema wenye
  kiwanda wangeshirikiana na Baraza la Mazingira NEMC kutafuta njia bora ya maji hayo
  kusarishwa Kwenye mfumo wa majitaka wa DAWASCO bila kuathiri mazingira.
  “Lengo ni kukomesha kabisa uchafuzi wa mazingira kwa wenye viwanda utokanano na majitaka
  na moshi viwandani , kwani una athari kubwa kwa mazingira na viumbe hai vingine.” Alisisi#za
  Mpina.
  Kwa upande wake mra#bu wa mazingira kanda ya mashariki kutoka Baraza la taifa la Hifadhi na
  Usimamizi wa Mazingira NEMC Bw. Ja3ar Chimgege alisema kuwa ka#ka kiwanda cha Iron S#ll
  Limited imebainika kuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho hawana vifaa vya vya usalama kazini
  kitendo ambacho kina#shia afya zao, aidha kiwanda hicho kinatakiwa kurekebisha mfumo wa
  utoaji moshi kiwandani hapo pamoja na kupima moshi kiwango cha ubora wa hewa pamoja na
 • kuwasilisha taarifa za ukaguzi wa mazingira ya robo mwaka NEMC, Pamoja na kuajiri Asa
  mazingira atayewashauri kuhusu masuala yote ya mazingira.
  Baadhi ya wakazi wa Eneo la Mikocheni ‘B’ akiwemo kanali mstaafu wa Jeshi Bw. Lameck Meena
  alisema kuwa kama mkazi wa eneo hilo ana mashaka na wasi wasi wa afya ya familia yake na
  mazingira kwa ujuma kutokana na sababu kuwa moshi majitaka na vumbi linatoka ka#ka baadhi
  ya viwanda hivyo siyo raki na kushauri wamiliki wenye viwnda hivyo kukaa karibu na
  wataalamu kuona namna ya kuweza kutatua changamoto hizo na kunusuru maisha ya wakazi na
  mazingira

 

<< Back to News Archive.