Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3960380.PROF KAMUZORA NA DKT KUSULUKA WAONGOZA KIKAO KAZI CHA KUJADILI RASIMU YA SERA YA ARDHI

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akiwa na Dkt. Moses Kusuluka Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Viongozi hawa pamoja na wataalamu wengine wamekutana katika kikao kazi Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam, kupitia rasimu ya sera ya Ardhi.


 

<< Back to News Archive.