Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3784856.UGENI KUTOKA BENKI YA DUNIA WAMTEMBELEA PROF. KAMUZORA

 Prof Faustin Kamuzora (Katikati) Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kukutana na ugeni kutoka Benki ya Dunia. Watatu kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Eng. Ngosi Mwihava. Pamoja na mambo mengine ugeni huo uliwasilisha taarifa yao mara baada ya kutembelea Mradi wa Kihansi hivi karibuni.


 

<< Back to News Archive.