Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3779712.NAIBU WAZIRI MH. KANGI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola akizungumza na sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Dar es Salaam na kuwaasa kufanya kazi kwa bidii, umoja, na kuhakikisha kila mtu anatimiza wajibu wake. Mkutano huo umefanyika Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.


 

<< Back to News Archive.