Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3779708.KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKABIDHIWA OFISI RASMI

 Katibu Mkuu mpya wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph K. Malongo(kulia) akipokea hati ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Prof. Faustin Kamuzora Ofisini mtaa wa Luthuli.


 

<< Back to News Archive.