Kiswahili | English
Site Keyword Search:
    
 
Total site visits: 3954734.VIONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO WAZIRI MAKAMBA

Viongozi wa timu ya Majimaji  wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi tuzo maalumu kwa Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Kushoto ni Mwenyekiti Bw. Stephen Ngonyani, Stephen Mapunda Mwenyekiti Kamati ya Ufundi na Bw. Vian Nchimbi shabiki wa timu hiyo Bw. Vian Nchimbi.


 

<< Back to News Archive.